Nyumba inapangishwa ipo makumira stand
Nyumba nzima inapangishwa ipo makumira stand Ina vyumba viwili vya kulalia Sebule kubwa Jiko Choo Cha ndani na Cha njee Eneo kubwa la parking Kodi 150000/= kwa Mwezi Kuona service chaj 10000/= kea DALALI
Price: FREE
Private Seller: Voncage M