NYUMBA INAUZWA

Nyumba ipo Kivule njiapanda ya shule Wilaya ya Ilala mkoa wa DSM. Nyumba inavyumba viwili vya kulala ina sitting, dining na public toilet. Nyumba ipo kwenye mtaa mzuri wenye miundo mbinu yote muhimu . Bei mill 25 maongezi yapo Simu 0655123147/0755230978 Tembelea page yetu kwa Biashara zaidi. https://www.facebook.com/profile.php?id=61550538873912&mibextid=ZbWKwL

TZS25

seller's name'
Name: Kim A
seller phone number
Location: 110
uploaded on
Date: 11 August, 2024

Contact Seller