Kwa anae taka chumba masta napangisha Chumba Kipyaaa yani nyumbaa mpyaaa ni Chumba masta na sebule yake kipo Temeke Yombo Machimbo karibu na Buza njia ya kuelekea Mwisho wa lami Sifa zake Chumba masta(Choo cha ndani)na Sebule yake Umeme na maji yapo kina Tairizi chini Kina Gypsum Kodi kuanzia miezi 6 #Bei 80,000 Servic Charge 10,000 Mwezi mmoja unamlipa Dalali Call 0677784091watsaap Karibu King Msukuma Mtaa Kwa Mtaa
TSh80,000