Mwana Nzengo Njoo Uwai imebaki moja tu nnjoo ukae Kwenye Apartments Nyumba Mpyaa Kaliii ipo kwenye Mtaa mzuri Chumba ni Masta na Sebule yakeUnatembea dakika 3 upo stendi kubwa Buza kanisani bara barani Sifa zake Ina Sebule Ina chumba kimoja cha kulala Masta Ina Feni za juu kila chumba Ipo ndani ya geti na kuna See more
TSh170,000