Hii sio ya kukosa kabisaaa chumba masta na sebule yake kubwa napangisha chumba na sebule yake kubwa Vyumba vipo kwenye fensi ndani ya geti vipo Temeke Buza Kanisani kwenye mtaa Mzuri na unatembea Dakika 3 hadi Stendi ya mabasi Sifa zake Chumba masta na sebule yake kubwa sana Umeme kila mtu na Sub mita yake Maji yapo See more
TSh100,000