Kwa anae taka Vyumba vikubwa napangisha chumba na sebule yake kubwa na kolido ya kwake tu Wala uingiliani na mtu na na choo kipo kwa nnje mnashea watu wawili tu.Vyumba vipo kwenye fensi ndani ya geti vipo Temeke Buza Cape Town unatembea Dakika 10 hadi Stendi ya mabasi piki piki buku. Sifa zake Chumba na sebule vikubwa na See more
TSh100,000