Kwa anae taka vyumba singo vikaliii napangisha vyumba vipyaaa yani nyumbaa ni mpyaaa ni vyumba singo wapangaji mtakua watatu tu na choo mnashea nyumba ipo kwenye fensi Vyumba vipo Temeke Yombo Machimbo karibu na Buza njia ya kuelekea Mwisho wa lami na abiola Sifa zake Chumba singo kikaliii sanaa Vina dirisha za aluminium See more
TSh60,000