Mwana Nzengo Njoo ukae kwenye Nyumba Kaliii ipo bara barani kabisa kwenye Mtaa mzuri Chumba ni Masta yenye choo kikalii na Sebule yakeUnatembea dakika 0 upo stendi kubwa Buza kanisani bara barani Sifa zake Ina Sebule Ina chumba kimoja cha kulala Masta choo kikalii% Ina Feni za juu Ipo ndani ya fensi Umeme una Luku See more
TSh200,000