Napangisha chumba na sebule vyumba vyote ni vikubwa vipo kwenye fensi vipo Temeke Machimbo mwisho wa lami kwenye mtaa na unatembea Dakika 5 hadi Stendi ya mabasi Sifa zake Chumba na sebule vyote vikubwa sana Umeme upo Maji yapo Vina Tairizi chini Vina Gypsum juu Kodi kuanzia miezi 4 #Bei 80,000 Servic See more
TSh80,000