#Mwana Nzengo Njoo ukae Kwenye Mtaa mzuri Chumba na Sebule kubwa Sana ina Jiko na choo ndani kutoka Kwenye nyumba hadi barabarani unatembea Dakika 12 hadi stendi kubwa ya mabasi Sifa zake Ina Sebule kubwa na partion nyingi Ina Choo ndani Ina chumba kimoja cha kulala Ina Jiko lake ndani Ina Tairizi Ina See more
TSh150,000