#Mwana Nzengo Njoo Uwahi mapema ukae Kwenye Mtaa ulio tulia vyumba Vikubwa Chumba na Sebule Masta avipo mbali na barabarani unatembea Dakika 5 upo stendi kubwa ya mabasi ya Kwalulenge Sifa zake Ina Sebule kubwa Ina chumba kimoja cha kulala Masta Umeme mnashea watu watatu Maji mnatumia watu watatu Vina Dirisha za See more
TSh120,000