NYUMBA INAUZWA ZENZE JIJINI MWANZA Ina vyumba vitatu vya kulala vyumba viwili ni self Sebule Dinning Jiko Store Public Toilet KIWANJA NI SQM 677 (KIMEPIMWA) KINA HATI MILIKI MKONONI
Price: FREE
Private Seller: Salum A
30_15 Kiko meter 200 kutoka lami ya east Africa, maji na umeme viko karibu 0752243368
Price: $700,000
Private Seller: DEALS I
Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mathias Milioni 2.5(milioni mbili na nusu) Ukubwa mita 20 kwa 20
Price: $2,500,000
Private Seller: Issa E
MITA 20/20 >> MILLION 13.5 MITA 10/20 >> MILLION 7 SERVICE CHARGES:SH 10,000 CALL/WHATSAPP:0742301930
Price: FREE
Private Seller: Magida V
MBEZI KWA MSUGURI MITA 20/20 >> MILLION 13.5 MITA 10/20 >> MILLION 7 SERVICE CHARGES:SH 10,000 CALL/WHATSAPP:0742301930
Price: FREE
Private Seller: TANZANIA O
Price Million 30 Ipo sombetini-Ngusero Upande wa pili wa shule ya Hady Mission Eneo ni 11 14 Nyumba ni bedrooms 3 Kimoja master Choo jiko na public toilet 0659851219
Price: TSh3,000,000
Private Seller: DEALS I
Mwanza Buhongwa sawa ya Chini kiwanja kinauzwa ukubwa sqm 400+ kiwanja kimepimwa kiwanja kina huduma zote za kijamii. Bei Milion 5.3 What'sap &call 0712805781
Price: FREE
Private Seller: Shomari F
Mwanza Buswelu Wilayani kiwanja kinauzwa ukubwa SQM 500 kinauzwa kiwanja kina huduma zote za kijamii Bei Milion 7.5 call& Whatsapp 0712805781
Price: FREE
Private Seller: TANZANIA O
Nyumba zipo mbili na kiwanja cha kujenga zote zinauzwa milioni 98,000,000/=
Price: TSh98
Private Seller: Omary T
Gorofa nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 270 maongezi yapo Ipo BUNJU BEACH - Dar es salaam - Tanzania Vyumba Vinne vya Kulala vyote ni self contenad Master Bedroom Sitting room zipo mbili chini na juu Dining room Kitchen Store Public toilet Ukubwa wa kiwanja: sqmt 1377 document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya More
Price: TSh270
Private Seller: Geophrey B
Mabosi hiki kiwanja nikikubwa kweli njoo inbox ukichukue chap kwabei ndogo kabisa hakina dalali yaani muuzaji ni Mimi mmiliki 0766118449 kipo kisesa changabe majirani wapo wakutosha tena kwa wale wafugaji hapa ndio penyewe kiwanja kikubwa bei ndogo kalibuni sana
Price: TSh3,000,000
Private Seller: Gulam A
KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI TAMBARARE UKUBWA WA UWANJA METRE 2025 KIPO KIMARA KOROGWE KWA MKUA 0675 065906 KUPELEKWA SITE 20,000
Price: $20,000,000
Private Seller: KUPATANA B
Nyumba inauzwa ipo kigambon toangoma fancty Nyumba ya vyumba 4 vyakulala stingiroom dainingiroom kitchen toilet public master bedroom stoo nyumba bei ml 90 tu nyumba mpya kabisa nyumba nizuli saan nyumba ina ukumbwa wakiwanja sqmt 700 nyumba ina hati yake ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi Usha fanyika kila nyumba
Price: TSh90
Private Seller: Dalali M
NYUMBA INAUZWA DAR ILALA KWA MNADA IPO BARABARANI ukonga Mombasa 85M KAMA unahitaji kiwanja kuanzia laki 8 pig 0789160475
Price: $8,500,000
Private Seller: Motor C
SHAMBA LINAUZWA Lipo BAGAMOYO,FUKAYOSI MJINI. Umbali kutokana barabara kubwa ya Lami hadi shambani ni kilometer 1 Tu. Ukubwa ni HEKA 3 Shamba inaVisima viwili vya kuchimbwa,Kisima cha kujengea,Kijumba cha mliniz na vyoo vizuri.Kuna miembe michache. Ardhi yake imenyooka nzuri sana. Price ni 26 Million
Price: TSh26
Private Seller: Elisha V
Kiwanja kinauzwa kipo salasala ukubwa 30 kwa 35 mita bei 25 milion 0685 689095
Price: $25,000,000
Private Seller: Peter L
HAYA BEI YA KUTUPA KABISA ENEO LINAUZWA "UBUNGO RIVERSIDE" 400MIL TU....., NI VIWANJA VIWILI KWENYE ENEO MOJA,KIWANJA KIMOJA KINA HATI NA KINGINE HATI IPO KWENYE PROCESS ILA KINA JENGO LA GHOROFA *Contact* ....................
Price: $400
Private Seller: TANZANIA O
Nauza kiwanja kipo nzuguni chuo sqea mita 450 Bei 6.5 maongezi yapo cm no 0683204767
Price: TSh6
Private Seller: Mobiles T
TUNAKOPESHA VIWANJA CHAGUA KIWANJA LIPA KIDOGO KIDOGO KWA ZAID YA MIEZ 6...
Price: TSh2,500,000
Private Seller: Willer M
Viwanja vimeshuka bei Arusha na Moshi. 15kwa20 bei. 1,600,000/= malipo ni mdogo mdogo . Maji ya chai East Africa Road Kikatiti Boma Ng'ombe Kisongo Call 0622467672
Price: TSh1,600,000
Private Seller: Shukh J
Kiwanja kinauzwa kipo kibaha loliondo, pikipiki 1000 hadi kufika kilipo. Ukubwa ni 20/20 na bei ni milioni 2.5 tu. Kiwanja hakina dalali.
Price: $2
Private Seller: Majid B
Nauza kiwanja ukubwa MITA 20 kwa 30 kipo kisesa bei 3000000 tuu maongezi yapo hakina dalali Mimi ndio mmiliki 0766118449 majirani wapo na wanaishi.
Price: TSh3,000,000
Private Seller: MwanZa D
Piga sm 0655376871 whatsapp viwanja vinauzwa kiluvya makurunge kilometres 7 kutoka lami morogoro Road umeme na maji yapo site vimepimwa na kurasimishwa kwa makazi bora kabisa bado hati kuu title deed kwenda kuona elfu 20000 piga sm ,0655376871
Price: TSh6,500,000
Private Seller: Yusuph J
Piga sm ,0655376871 nyumba inauzwa kiluvya makurunge milion 25 ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master public toilet moja na jiko kubwaa na seble pia dining ukubwa wa kiwanja sqm 900 yaani 30 kwa 30 nyumba ina eneo kubwa la kujenga nyumba nyingine za wapangaji,,fremu za maduka maana inashika barabara kuu ya makurunge inayowekwa lami twende ukaone Mali isiyoharibika piga sm ,0655376871 whatsapp kwenda kuona elfu 20000
Price: TSh25
Private Seller: JIPATIE P
Piga sm ,0655376871 whatsapp viwanja vinauzwa mbezi luguruni milion 15 maongezi ukubwa wa kiwanja sqm 400 na sqm 500 umeme na maji yapo site kilometres 4 kutoka lami morogoro Road vimepimwa bado hati kuu title deed kwenda site elfu 20000 karibu piga sm ,0655376871
Price: TSh15
Private Seller: Riçhärd Ñ
Bei Milion 6.5 Mwanza Nyashishi Boma Linauzwa Vyumba Viwili kimoja master Sebule kubwa Trip 5 za mawe Kokoto trip 1 Tofali 100 Kiwanja 30 kwa 20 Barabara nzuri inafikika misimu yote January to December
Price: FREE
Private Seller: Anza N
Kiwanja hiki kimeshika lami kina sqm1200 ni kizuri kwa ajili ya sheli, hoteli, migahawa, fremu za biashara na kadhalika. Kipo njia kuu ya kuelekea morogoro katibu na mrumba,ikulu na makao makuu ya jkt. Kinauzwa kwa 38m tu. 0687721388
Price: TSh38
Private Seller: Dodoma B
Jamani ee kuna mtu huku anauza kiwanja dar es salaam.maeneo ya kigamboni dege njiapanda ya chuo yaan huko ni mji mpya kuna huduma.zote za kijamii kama unavyojua kigamboni pakishua.
Price: TSh5,000,000
Private Seller: Aga P
Viwanja vimeshuka bei Arusha na Moshi. 15kwa20 bei. 1,600,000/= malipo ni mdogo mdogo . Maji ya chai East Africa Road Kikatiti Boma Ng'ombe Kisongo
Price: TSh1,600,000
Private Seller: Kelv J
Bei ya kiwanja ni Laki tano tu viwanja vinapatikana vikindu maeneo ya msolwa mjini viwanja vyote vina ukubwa wa futi 50 kwa 40 viwanja vyote vina Barbara za mitaa viwanja vyote vimepimwa arthi tambalale mazingira mazuri huduma zote za kijamii zinapatikana simu 0789 882203 /0672 161581
Price: TSh500,000
Private Seller: FELIX M
Kiwanja kina kokoa na eneo la wazi kwa ajili ya kilimo na ujenzi wa nyumba *ni eneo zuri linafaa kwa makazi na kilimo *ukubwa ni square mita 3,196 Location:mababu Contact:0693638011
Price: TSh10,000,000
Private Seller: Betting W
Kiwanja kipo kisongo stand mita Mia kutoka lami na kipo barabarani Kina 25 kwa 20 which chap Piga 0756977338...
Price: TSh1
Private Seller: DEALS I
HAYA BEI YA KUTUPA KABISA ENEO LINAUZWA "UBUNGO RIVERSIDE" 450MIL TU....., NI VIWANJA VIWILI KWENYE ENEO MOJA,KIWANJA KIMOJA KINA HATI NA KINGINE HATI IPO KWENYE PROCESS ILA KINA JENGO LA GHOROFA *Contact* ....................0789212701
Price: TSh450
Private Seller: Mo S
Kiwanja kinauzwa KIGAMBON KISIWAN. Mita 16 kwa 12 Bei Milion 18 maongez yapo. Kiwanja kipo ushuani sana. 0652180400
Price: TSh700,000,000
Private Seller: FELIX M
Nyumba inauzwa kigamboni kibada TSH 90 million kiwanja Cha kupima sqm 800. Vyumba vitatu na sebule kubwa pia Ina stoo . PIGA simu 0686788088
Price: TSh90,000
Private Seller: JIPATIE P
Kiwanja kinauzwa ukubwa sq800*800 kipo makulunge bagamoyo Bei 2ml kimepimwa na serikali
Price: TSh200,000
Private Seller: Mamba D
nyumba inauzwa mil 170 iko mburahati barafu kiwanja ni cha serikali, sqm 400, full documents zipo , njia ni ya uhakika lami mpaka mahali nyumba ilipo kwa mawasiliano ; 0626553941
Price: TSh170,000,000
Private Seller: Hamisi K
Kiwanja kinauzwa million 3 Kiwanja kinafaa kwa ujenzi mfano nyumba za kupangisha, guest house au makazi Location: ngyekye center , barabara ya lami matema beach -kyela Contact :0693638011 Kwa maelezo zaid njoo whatsap
Price: TSh3,000,000
Private Seller: Don I
Kiwanja kinauzwa laki 7 na Kinafaa kwa makazi Location: ngyekye :kipo karibu na barabara ya matema-kyela Huduma:umeme na maji yapo Call:0693638011
Price: TSh750,000
Private Seller: Mbeya R
Nauza BOma yeny vYumba Vitatu Na Master Moja,choo public store , jiko, sittng room,drng room na baraza mbele na nYuma iKo sehemu nzur na Iko na kiwanja cha Kujenga mabanda Ya Nje na Fance ukazungusha Kiwanja chot Kina ukubwa wa mita 70X65 Huduma zote za kijamii zinapatikna uMeme uPo na barabara safi hadi site ( serious buyer 0719038715. [MBANDE TAMBANI]
Price: TSh12
Private Seller: MAGARI &
Nauza kiwanja changu ukubwa 10*20 kina nyumba haijaisha iko kwenye renta niyakupauwa tuu kiwanja kiko kwa Patel kiwanja kiko balabalani kabisa huduma zote zipo kama maji.umeme.pia simbali na balabala ya lami pia kama uko seriously nipigie kwa namba hii 0683171718 au 0674171818 mimi ndio mwenye nyumba sio dalali pia maongezi kidogo yapo usiogope
Price: $15,000,000
Private Seller: Abubakar B
Habari kiwanja Goba Mil 6.5 20*20 Pia unao uwezo wakulipa kidogo ofa hii ya punguzo kwa siku chache
Price: TSh6,500,000
Private Seller: Magari S
Mwanza Nyashishi kiwanja kinauzwa ukubwa 30 kwa 30 kiwanja kipo sehemu nzuri sana. Majirani safi. Bei Milion 3.5 Wahi tumaliziee biashara tutakukadhi nyaraka baada ya mauziano Mawasiliano 0712805781
Price: FREE
Private Seller: KC'S M