
Nyumba inapangishwa jijini Arusha moshono
Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulaa Ina wapangaji watatu kwenye compound. Ina seble Ina jiko lenye makabati Ina kabati chumbani Ina heater ya maji moto Bei 230,000/mwez kodi ilpwe miez mitatu. Call 0684170231/0762988989.
Price: TZS230,000
Private Seller: DEALS I