Page 6 Kiwanja Kinauzwa Tanzania 2025

  • kiwanja goba kulangwa

    kiwanja goba kulangwa kipo kina ukubwa wa 25/22 nipigie..0752845913

    Price: $25

    Product SellerPrivate Seller: Ally R

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Kiwanja kinauzwaa mtaa WA laizer

    kiwanja

    Kiwanja kina ukubwa WA 20 kwa 26

    Price: TZS16,000,000

    Product SellerPrivate Seller: Kitone K

    View
    KIWANJA for sale Arusha Arusha
  • Kiwanja

    Nauza kiwanja changu kipo TABATA KINYEREZI (MSIKITINI) KWA DITOPILE. Kutoka kituoni hapo MSIKITINI mpaka kwenye eneo uku kwa Ditopile boda boda 1000 buku tu. Kwa mguu pia unaweza kufika. UKUBWA WA ENEO NI 20 20 BIASHARA SERIKALI YA MTAA KUKIWA NA VIONHOZI WOTE NA DOCUMENT ZA UMILIKI, MAUZIANO NK ZOOTE ZIPO INBOX TUFANYE BIASHRA AU WEKA NAMBA NKUPIGIE CHAP TU. KARIBUNI SAAANA.

    Price: $5,000,000

    Product SellerPrivate Seller: KUPATANA B

    View
    KIWANJA for sale Dar es Salaam Dar es Salaam
  • NAUZA KIWANJA KILICHOPIMWA MTUMBA MAGUFURI CITY

    Ukubwa ni sqm 600 (30 20) Kutoka Kiwanja kilipo hadi lami ya dom/moro ni 7km

    Price: $2,000,000

    Product SellerPrivate Seller: Chikwende M

    View
    KIWANJA for sale Dodoma Dodoma
  • Kiwanja kiwanja

    kiwanja

    Kiwanja kinauzwa mbezi msumi center 25/20 kipo barabarani na kimezungukwa na majirani pande 3 ambao wamejenga mijengo ya kisasa. Huduma zoote za kijamii zipo, kwa mguu dk 7 upo kituoni msumi center na boda boda dk 2 nauli 1000. Biashra inafanyila OFISI YA SERIKALI YA MTAA + MJUMBE NA WENYEKITI NA MASHAHID WOOTE HATA WANASHERIA/MAWAKILI. Inbox kwa mteja tuma namba nkupgie. Maongezi yapo.

    Price: $800,000

    Product SellerPrivate Seller: Samwel K

    View
    KIWANJA for sale Dar es Salaam Dar es Salaam
  • Land

    Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mathias Milioni 2.5(milioni mbili na nusu) Ukubwa mita 20 kwa 20

    Price: $2,500,000

    Product SellerPrivate Seller: WAUZAJI W

    View
    KIWANJA for sale Dar es Salaam Dar es Salaam
  • 350 000 000

    350,000,000 Contact seller Kiwanja kinauzwa Kipo jijini dar Eneo ukubwa ni 3553sqm Bei 350,000,000 tshs Lipo kibamba kwa mangi Jilan kabisa na barabaran Unaweza Fanya matumizi YOYOTE 0750 88 88 58

    Price: Contact seller

    Product SellerPrivate Seller: KUPATANA B

    View
    KIWANJA for sale Tanzania Tanzania
  • Kiserian je unaitaji kiwanja kizurii

    kiwanja

    Viwanja hivi vzurii kiserian mashariki kutoka barabara ya East Africa kilomita Moja 15kwa20 unchukuaa kiwanja chako na utapewa 20 kwa34 kwa milioni 15 na unaweza kulipia kwa awamuu mbili wait kabla hazjaishaa ni viwanja vzurii

    Price: TZS7,500,000

    Product SellerPrivate Seller: KITU C

    View
    KIWANJA for sale Arusha Arusha
  • Nauza kiwanja changu

    Nauza kiwanja changu,kipo bunju B sokoni Kiwanja ni kikubwa sana 32kwa 30,ninashida na hela Bei 6m Contact 0682979824 0682979824

    Price: TZS6

    Product SellerPrivate Seller: Issa J

    View
    KIWANJA for sale Dar es Salaam Dar es Salaam
  • Jee unaitaji kiwanja

    kiwanja

    Viwanja viwanja viwanja viwanja viwanja tunauza viwanja vianzi vikindu mkuranga pwani changombe ukubwa futi 40/50 laki 9 km7 kutoka vikindu piga 078787220

    Price: TZS900,000

    Product SellerPrivate Seller: Magari S

    View
    KIWANJA for sale Dar es Salaam Dar es Salaam
  • Kiwanja kinauzwaa ipo kiserian

    kiwanja

    Kiwanja hicho kina ukubwa WA 10 kwa 30 kutoka baraba ya ist afrka kilomita Moja TU karbu Haina punguzo ndio bei yake uje ukiangalie ukikipenda unakichukua mtaa longiva Kijiji kiseeian karibuni

    Price: TZS5,000,000

    Product SellerPrivate Seller: Alex J

    View
    KIWANJA for sale Arusha Arusha
  • Kiwanja kinauzwa ipo mtaa losirwaai

    kiwanja

    Kina ukubwa WA 30kwa30 ni sehem nzurii huduma zpo maji umeme ipo karbu na barabara ya isti afrka mita 500 unaingia ist afrka karibuni

    Price: TZS27

    Product SellerPrivate Seller: KITU C

    View
    KIWANJA for sale Arusha Arusha
  • kiwanja mbezi msigani

    kiwanja

    Kiwanja kipo mbezi msigani kina ukubwa wa 30/25 kutoka mbezi stand mpaka site kwa boda dakika5 nipigie bei ml48.5 nipigie..0752845913

    Price: $4,850,000

    Product SellerPrivate Seller: KC'S M

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Kiwanja kizuri kabisa

    kiwanja

    kiwanja kinauzwa kipo kisemvule nauli 1000 tu kutoka stend ya kisemvule, bei ni 5.5 milioni tu.maongezi yapo kidogo ukubwa wa kiwanja ni futi 44 kwa 44. ni pazur kwa kujenga nyumba ya kuishi au kupangisha kwa vile kuna viwanda vinavyozunguka eneo hilo. kwa mawasiliano piga simu/txt 0625800366

    Price: TZS5,500,000

    Product SellerPrivate Seller: Rhodrick K

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Kiwanja.cha.mita24kwa20

    0747031620

    Price: TZS5,000,000

    Product SellerPrivate Seller: Mji M

    View
    KIWANJA for sale Dar es Salaam Dar es Salaam
  • Pagala kubwa sana lipo pepline jilan na mwambene Bei yake ni sawa na

    Pagala kubwa sana lipo pepline jilan na mwambene Bei yake ni sawa na bei ya kiwanja kwa maeneo haya Mil 25 na bado eneo ni kubwa sana Bei inapungua njoo uongee na tajiri mwenyewe 0756395061 Kipo eneo zuli sana mtaa wa kishua

    Price: $25

    Product SellerPrivate Seller: Mbeya R

    View
    KIWANJA for sale Mbeya Mbeya
  • Kiwanja kikali mnoooo kinauzwa mbagala chamazi.

    kiwanja

    Piga 0718313133

    Price: FREE

    Product SellerPrivate Seller: David E

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Viwanja mbeya

    kiwanja

    Dalali viwanja shewa itua mwasanga ijombee na sehem nyingine leo ninacho kiwanja kikubwa 25 kwa 25 milion 5 kipo shewa barabarani tu no 0759836428 au 0719921204

    Price: FREE

    Product SellerPrivate Seller: Mbeya R

    View
    KIWANJA for sale Mbeya Mbeya
  • Nauza kiwanja mlandizi vigwaza

    kiwanja

    Njoo nikukatie kiwanja chako 18x20 kwa laki nne tu. Mauziano serikali ya mtaa hamna udalali. Eneo ni langu mwenyewe ukitaka eneo kubwa zaidi tunazungumza. Wahi umiliki kieneo chako kijana mwenzangu mjini hapashikiki usije ukakosa pakujenga mna hata huku nje ya mji panapanda thamani kila leo. Usije juta baadae watoto watakapokosa pakurithi.

    Price: TZS400,000

    Product SellerPrivate Seller: Car D

    View
    KIWANJA for sale Mlandizi, Dar Es Salaam, Tanzania Mlandizi, Dar Es Salaam, Tanzania
  • Kiwanja kinauzwa chanika

    kiwanja

    Nauza kiwanja changu kipo chanika Ukubwa mita 20 kwa 23 Bei 4500000 Kama una gari pia tunaweza kubadilishana Piga 0655005183

    Price: TZS4,500,000

    Product SellerPrivate Seller: JIPATIE P

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Nauza kiwanja

    kiwanja

    5,500,000/= mazungumzo yapo kidogo Kiwanja kipo inyala kijiji cha iyawaya Ukubwa ni 7579 M2

    Price: $5,500,000

    Product SellerPrivate Seller: DAR D

    View
    KIWANJA for sale Mbeya Mbeya
  • Kiwanja kinauzwa nyashishi

    kiwanja

    Mwanza Nyashishi kiwanja hiki kinauzwa ukubwa 30 kwa 20 Bei Milion 2.5 WhatsApp/call 07128057/0712066575

    Price: FREE

    Product SellerPrivate Seller: Tashriffu T

    View
    KIWANJA for sale Mwanza Mwanza
  • Nyumba inauzwa

    kiwanja

    Nyumba inauzwa ipo mbeya mjini itua ipo barabarani nyumba ya kisasa nyumba Ina fensi usalam asirimia ndani Kuna maua mazuri maji umeme alarm kwa wageni Ina uwanja mkubwa unaweza kujenga kiwanja kidogo Cha michezo pia kila chumba kina serf ndani kwa ndani inauzwa milion 70 maongez yapo usikate tamaa nipigie no 0759836428 au 0719921204 kalibu Sana

    Price: FREE

    Product SellerPrivate Seller: Mabe M

    View
    KIWANJA for sale Mbeya Mbeya
  • Ofa ofa ofa Wahi ujipatie kiwanja chako KIGAMBONI kwa bei ya ofa ndani

    kiwanja

    Ofa ofa ofa,,, Wahi ujipatie kiwanja chako KIGAMBONI kwa bei ya ofa Tsh 600,000 tu ndani ya mwezi huu wa RAMADHANI. KWA MAWASILIANO Piga 0676123898

    Price: TZS600,000

    Product SellerPrivate Seller: JIPATIE P

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Kiwanja kinauzwa kibaha mile moja Ukubwa 450SQM Bei 6million Plot iko vizuri Plot

    Kiwanja kinauzwa kibaha mile moja

    Price: TZS6,000,000

    Product SellerPrivate Seller: KC'S M

    View
    KIWANJA for sale Mchafukoge, Dar es Salaam Mchafukoge, Dar es Salaam
  • Kiwanja 30x25

    Mawasiliano 0672889089

    Price: TZS5,000,000

    Product SellerPrivate Seller: Jumanne K

    View
    KIWANJA for sale Bunju Bunju
  • Kiwanja cha 50 kwa 48 kinauzwa Pugu sekondari

    kiwanja

    Kiwanja kinapa

    Price: $18

    Product SellerPrivate Seller: Jackson B

    View
    KIWANJA for sale Dar es Salaam Dar es Salaam
  • KIWANJA KINAUZWA NZUGUNI 88 DODOMA

    kiwanja

    Kimepimwa full document Sqm 500+ Simu:0625664067

    Price: TZS5,000,000

    Product SellerPrivate Seller: Rasco I

    View
    KIWANJA for sale Dodoma Dodoma
  • Ofa ya msim wa sikukuu viwanja vinauzwa kukopeshwa arusha barabara ya est afrika

    kiwanja

    Msimu wa sikuu tumekuja na ofa ya viwanja arusha barabara ya est afrika road ukinunua kiwanja tunakupa na mit ya kupanda buree bei ni kuanzia milion moja na laki mbil tu na malipo mdogo mdogo piga sim sasa 0744999069

    Price: TZS1,200,000

    Product SellerPrivate Seller: Emmanuel A

    View
    KIWANJA for sale Engare Narok, Arusha Engare Narok, Arusha
  • SUPER APARTMENT INAPANGISHWA UYOLE MBEYA JIJI CHUMBA NA SEBULE SELF NA JIKO V

    kiwanja

    SUPER APARTMENT INAPANGISHWA UYOLE MBEYA JIJI CHUMBA NA SEBULE SELF NA JIKO VYUMBA NI VIKUBWA 0765912976 BEI LAKI NA NUSU KUNA HITER MAJI YA MOTOOOOOO SISI NI Job Mbeya Jiji Letu150000 TUNAUZA KIWANJA GOMBE MILIONI 7 LAKI TANO 0712242651

    Price: TZS150,000

    Product SellerPrivate Seller: Nizzy B

    View
    KIWANJA for sale 531 531
  • Nyumba inauzwa sofu kibaha ina kiwanja kikubwa cha 20 kwa 25. Barabara ipo karibu

    kiwanja

    Nyumba inauzwa kibaha maeneo ya sofu tangini,unapauwa na kuingia. Ina kiwanja kikubwa cha 20 kwa 25. Ni mali halali piga uongee na mmliki 0712200315

    Price: TSh8

    Product SellerPrivate Seller: Dullah U

    View
    KIWANJA for sale Kibaha Kibaha
  • Kiwanja vigwaza mlandizi laki 8 tu

    kiwanja

    Wahi kiwanja kipo vigwaza mlandizi ukubwa ni 15x20 unatembea kwa mguu tu toka lami huduma za jamii zote zipo. Usikikose bei ni laki 8 tu. Mauziano serikali ya mtaa. Nicheki chapu ukiwahi.

    Price: TSh800

    Product SellerPrivate Seller: John K

    View
    KIWANJA for sale Mlandizi, Dar Es Salaam, Tanzania Mlandizi, Dar Es Salaam, Tanzania
  • Kiwanja kinauzwa kipo kwa KWAMATIAS

    kiwanja

    KIPO KARIBU NA BARABARA YA KUELEKEA NYUMBU KIPO KARIBU NA LAMI KINAFAA KWA FREM ZA BIASHARA N.K WAI MAPEMA

    Price: TSh50

    Product SellerPrivate Seller: Godfrey M

    View
    KIWANJA for sale 611 611
  • Nyumba inauzwa kimara mwisho

    kiwanja

    Kijumba kipo kimara mwisho unaweza kupitia kologwe kinauzwa 7.5 milion Yan (7500000) inachumba kimoja chenye choo ndan na sebule kiwanja kimebaki kidogo cha kuongeza vyumba v2 balabala mpaka hapo maji dawasco kimepimwa pia tunapokea pesa kwa awamu kupelekwa kuona nyumba 15k piga 0786227228

    Price: TSh7,500,000

    Product SellerPrivate Seller: Bwaloh T

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Kiwanja

    Kiwanja chenye ukubwa wa sqm 144, 12 kwa 12 kinauzwa Kibaha Picha ya Ndege mkoani Pwani kilometa 3 Kutoka barabarani Bei milioni 1na laki 2 tu Umeme upo maji yanatumika ya visima huduma zengine zipo Ukihitaji nicheki njoo umiliki kiwanja chako heshima nikuwa na kiwanja chako Paga namba 0689530463,0778079319

    Price: TSh12

    Product SellerPrivate Seller: Rama S

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Kiwanja

    kiwanja

    Xchange na Gari ama pesa Nauza eneo langu lipo Dodoma mpamaa mpaka mwa eneo la maafa ya waziri mkuu eneo Ni mbugani watu wanajenga kwa mawasiliano 0683204767

    Price: $8,500,000

    Product SellerPrivate Seller: Dady P

    View
    KIWANJA for sale Dodoma Dodoma
  • Kiwanja

    kiwanja

    KIWANJA

    Price: $22

    Product SellerPrivate Seller: Car D

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Je unahitaji pagara na kiwanja chake eneo lipo karibu na barabara na lina

    kiwanja

    BOSS KARIBU UJIPATIE PAGARA NA KIWANJA CHAKE ENEO LIPO KARIBU NA BARABARA NA LINA KILA HUDUMA YA KIJAMII, KWA NN UTESEKE NA NYUMBA ZA KUPANGA HII SI YA KUKOSA BOSS WANG MAZUNGUMZO YAPO BEI NI YA RAMADHAN KAREEM HAUTANILAUMU ENEO LIPO SINGIDA MAENEO YA MWAJA KARIBU NA KIWANDA CHA MPUNGA KWA ABED 0622011523

    Price: $9

    Product SellerPrivate Seller: DAR D

    View
    KIWANJA for sale Singida Singida
  • Nyumba ya kupangisha Inauzwa Mwanza Kisesa CHUO CHA MIPANGO. 0763406453

    kiwanja

    0763406453 Moja Ina Vyumba vitano 5 Ndogo vyumba vi3 na Flem ya Duka Kuna msingi wa vyumba vi3 Shimo la choo limejengewa Kwa mawe Umeme upo Wanachuo wengi mtaani hapo Kiwanja kimepimwa kina invoice Bei ELEKEZI milion 15 tu Ukifika bei Wasiliana nasi 0763406453

    Price: TSh15

    Product SellerPrivate Seller: Md. S

    View
    KIWANJA for sale Mwanza Mwanza
  • NYUMBA NZURI INAUZWA KIMARA TEMBONI

    kiwanja

    Nyumba Inauzwa milioni 55 maongezi yapo Ipo KIMARA TEMBONI - Dar es salaam - Tanzania Vyumba Vitatu vya Kulala Master Bedroom Sitting room Dining room Kitchen Public toilet Ukubwa wa kiwanja: sqmt 500 document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa) Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae More

    Price: TSh55

    Product SellerPrivate Seller: Quzo J

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • 0789160475

    kiwanja

    NOAH SR40 GAR YA IPO VIZURI ALIKUWA ANATUMIA MWANAMKE PIA KAMA UNAHITAJI KIWANJA KUANZIA LAKI NANE PIGA 0789169475

    Price: $1,400,000

    Product SellerPrivate Seller: UZA N

    View
    KIWANJA for sale 150 150
  • Nauza kiwanja unaezaxnunua na kukata viwanja ukauza

    Nauza kiwanja kipo arusha kiserian barabara ya east afrika karibu na shule ya msingi muungano huduma zote zipo ukubwa ni 47 kwa 70 tayari kunanyumba ya kuanzia maisha yenye chumba sebule na choo cha ndani na uzio bei ni ml 35 ni changu aliye tayari 0766077484

    Price: TSh35

    Product SellerPrivate Seller: Iss D

    View
    KIWANJA for sale 231 231
  • Kiwanja kipo sokoni 0622574449

    kiwanja

    KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BINAFSI. 0622574449

    Price: FREE

    Product SellerPrivate Seller: Mwangata M

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • TUNAENDELEA na OFFER YETU 2024 njoo na laki 6 tu upate kiwanja chako

    TUNAENDELEA na OFFER YETU 2024 njoo na laki 6 tu upate kiwanja chako Vikindu vianzi site n kila siku.TIMIZA MALENGO YAKO MAPEMA 2024 TUPIGIE 0752746147

    Price: TSh600,000

    Product SellerPrivate Seller: CHRISS_YANGA_PKPK_0742896121

    View
    KIWANJA for sale 110 110
  • Kiwanja kinauzwa kipo arusha

    Nauza kiwanja kipo arusha kiserian barabara ya east afrika karibu na shule ya msingi muungano huduma zote zipo ukubwa ni 47 kwa 70 tayari kunanyumba ya kuanzia maisha yenye chumba sebule na choo cha ndani na uzio bei ni ml 35 aliye tayari 0766077484

    Price: TSh35

    Product SellerPrivate Seller: Nasri K

    View
    KIWANJA for sale Engare Narok, Arusha Engare Narok, Arusha