NYUMBA IPO MACHIMBO NYUMBA YA 4 KUTOKA STENDI ina vyumba 7 ukubwa wakiwanja 20*20 TSH. 40,000,000 MAWASILIANO 0652074075/0745889088 WATEJA SERIOUS TAFADHALI.
Price: TZS4,000,000
Private Seller: Sefu K
KIWANJA KINAUZWA KIPO KINGOLWIRA KITUNGWA KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA UKUBWA WA SQUARE MITA 600 KIWANJA KIPO SEHEMU NZURI KIWANJA KINAUZWA MILIONI SITA NA LAKI TANO TU(6,500,000) SIMU:0752481398
Price: TZS6,500,000
Private Seller: Kuma M
*ENEO PAMOJA NA NYUMBA VINAUZWA* *MAHALI = MBWENI MALINDI DAR-SALAAM* *ENEO LIKO COAST ZONE (MWAMBAO WA PWANI= MITA 135 KUFIKA BAHARINI* *UKUBWA = SQUARE METER 767 LIKO BARABARA YA LAMI* *NYUMBA INA VYUMBA 4 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA SELF KUNA SITTING ROOM, COOKING ROOM, DINING ROOM* *ENEO LIMEPIMWA HATI HAIJATOKA More
Price: $130
Private Seller: Juma D
Kiwanja kizuri kipo mahomanyika karibu na mtumba mji wa kiserikali dodoma. Sqm1000 Bei mil9 0710137089
Price: FREE
Private Seller: SIMTOP(TANGAZA S
Kiwanja chenye msingi kinauzwa ukonga mombasa Ukubwa 20kwa 20 Milion 14 maongezi yapo 0711755445
Price: TZS14
Private Seller: Nelly K
NYUMBA INAUZWA BEI MILION 42,000,000/=MAONGEZI LOCATION::MBONDOLE KATA YA MSONGOLA DSM CONTACT +255757361746 +255652912715 INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SITTING ROOM DINING ROOM PUBLIC TOILET JIKO UMEME MAJI NK. KIWANJA SQM 400 SALE AGREEMENT #Service_Charge_tsh_30000 #miliki_nyumba_au_kiwanja_2024 #whatsapp_+255757361746_+255652912715 WOTE MNAKARIBISHWA
Price: TZS42
Private Seller: JIPATIE P
Kiwanja KINAUZWA KIGAMBONI KALIBU NA BEACHI KINAUKUBWA WA HEKAR MOJA NA NUSU Kwa mawasiliano 0764649227
Price: $450
Private Seller: Bruno T
KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI KALIBU NA BEACH KINA UKUBWA WA HEKAR MOJA NUSU Kwa mawasiliano 0764649227
Price: $450
Private Seller: Seif S
Kiwanja robo heka pamoja n nyumba ya vyumba vitatu. Kipp mkuramga wilaya y pwani. SIFA ZA ENEO (1) Eneo liko tambalale (2) Eneo lina mazao kama migomb minazi n nk. (3) Liko mita 100 toka barabarani. Contact:0743398486 Welcome
Price: TZS1,200,000
Private Seller: Maziku J
Huduma za viwanja Miliki kiwanja chako sasa kwa gharama nafuu Viwanja bomba kwa makazi Arusha kuanzia 15kwa20 million 3,500,000 Lipa kidogo kidogo bila riba ndani ya miezi 6mpaka 8 Maeneo kisongo 15/20. =3,500,000 Ngaramtoni. 25/20. =20,000,000 East Africa. 15/20 =4,500,000 Murieti. 15/20. =7,500,000 Maji ya chai. 30/20. =7,000,000 Kikatiti. 15/20. =2,500,000 Njiro 15/20. =6,500,000 Moshono. 20/20. =17,000,000
Price: TZS3,500,000
Private Seller: Mkopo P
Unatafuta kiwanja? Usihangaike na bei za mjini huziwezi. Wahi upate kieneo chako vigwaza ujenge utulie. Pia ni maeneo mazuri kwa uwekezaji. 20x20 kuanzia laki 8. Heka moja kwa mil 4, 3 mpka 2 na vyote ni kwa mguu tu toka lami. Hakuna mahali utapata kwa bei chee hivi kwa sasa. Wahi ukamate zipo chache.
Price: TZS800,000
Private Seller: Santos M
Usiiache hii kwa milion 4 tu nakupa heka nzima vigwaza mlandizi karibu na lami. Zipo heka 2. Pia za milion 3 zipo 4 na za milion 2 zote karibu na lami kama kilomita moja kasoro hivi kwa mguu tu unafika yaani lami unaiona ilee gari zikipita. Ya nini ujibanebane kweny 10x10 kwa milion 5 mjini?? Wazee wa zamani waliwah mbez na kimara kukiitwa polini sasa ni matajiri. Na wewe wahi mlandizi chapu. Usiseme sijakwambia.
Price: TZS4,000,000
Private Seller: Car D
Kiwanja kinauzwa kibaha mile moja Ukubwa 450SQM 0692197727
Price: TZS4,000,000
Private Seller: SOKO K
Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 150 maongezi yapo Ipo MADALE POLICE - Dar es salaam - Tanzania Vyumba Vitatu vya Kulala Master Bedroom Sitting room Dining room Kitchen Store Public toilet Ukubwa wa kiwanja: sqmt 649 document Sales agreement (Hati ya mauziano ya selikali za mitaa) Kiwanja kimepimwa Hati miliki itatoka kwa Jina la mteja atakae nunua Nyumba ina servant cotta ya chumba, chumba, kitchen na public toilet #0692495903
Price: FREE
Private Seller: KITU C
Nyumba yakumalizia inauzwa arusha mtaa njiro ndogo karibu na sheli ya simba hapa ni sellfu ya room tatu choo na jiko ndani kiwanja 10 kwa 13 haina mgogoro wowote mawasiliano 0675495727 ni nyumba kubwa sana maongezi ukishaikagua gari nauli 600 mpaka mjini
Price: $9,500,000
Private Seller: Giana G
Dar pamejaa na bei hazishikiki. Usikubali kuwa mtu mzima uliefeli kuwekeza ujanani. Wazee waliowahi kimara, mbezi na kibamba enzi hizo kukiitwa polini Leo ndio mabosi wenye ardhi zao. Wahi mlandizi vigwaza upate kieneo chako mapema kabla bei hazijapanda utulie. Pia zipo heka nzima kwa milioni 4, 3 hadi 2. Zote ni kwa mguu tu kutoka lami ya morogoro. Karibu sana
Price: TZS700,000
Private Seller: DAR D
Kiwanja kina ukubwa wa futi 50X80.Umbali kutoka kilwa road Hadi site ni km 3 tu.Bei ya kiwanja ni 3 mil.Kwa maelezo zaidi piga 0676 870 789 au 0766 346 593
Price: FREE
Private Seller: TANZANIA O
Hivi kiwanja matui Cha urefu mita 30 na upana mita 30 Ni shingapi FREE Dodoma
Price: FREE
Private Seller: Ashy P
Nyumba sinza lion inauzwa kiwanja ni viwili kwa kimoja eneo nikubwa sana na unaweza kujenga hotel,gest house,au Apartiments bei ni 350ml maongezi zaid piga simu tuongee no 0775722251
Price: $35,000
Private Seller: Simba O
Kiwanja kinauzwa million 3 , Mbezi Msumi, Kina mita 10 kwa 10, Piga simu 0748762533 / Kupelekwa site elf20 ( Karibuni wateja )
Price: TZS3,000,000
Private Seller: MAGARI M
Kiwanja kinauzwa nicheki 0716239630 & 07358783011
Price: TZS5,000,000
Private Seller: UZA N
Mwanza Buswelu Kiwanja kizuri cha makazi kinauzwa Ukubwa 40 kwa 20 Kiwanja kina huduma zote za kijamii Bei Milion 8.5 Wasiliana nasi: 0712805781/0719066575
Price: FREE
Private Seller: TANZANIA O
Kiwanja kina uzwa inaukubwa wa 20 kwa 15 kutoka lami kilometamoja kwamaelezo 0746194452
Price: TZS5,000,000
Private Seller: DEALS I
Nauza kiwanja 20m kwa 20m Location,muriet (njiro ndogo) Price 9ml Au Mabadilishano na heka moja iwe Arusha.
Price: FREE
Private Seller: Joseph R
Nauza kiwanja changu ... Location muriet karibu na dampo(njiro ndogo)...ukubwa wa kiwanja n 20m kwa 20m Price 9ml Kuona ni buree
Price: FREE
Private Seller: DEALS I
Kiwanja kinauzwa Bei ya kutupa, Bei ni Milion 7.8 Tu. Kiwanja kinapatikana Kigamboni Tuangoma Kwa Sako. Kiwanja kina Msingi wa vyumba vitatu na Sebule. 0698534925/0744993715 Kiwanja ni kizuri sana, nguzo ya Umeme hapo hapo kwenye Kiwanja, Majirani wa kishua, sio Mbali na barabara ya lami, unaweza tembea hata Kwa mguu. Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa ni Futi 50 X 55. Unaweza kujenga Nyumba ya kuishi au ya kupangisha. Njoo uchukue hichi Kiwanja ujenge Nyumba ya ndoto Yako. Karibu sana 0698534925/0744993715
Price: TZS7,800,000
Private Seller: MAGARI S
Kiwanja kinauzwa kipo kijiweni Kanyama jirani na Chuo cha City College, kinatazamana na Stand ya mabasi Nyamhongolo. Ukubwa 30x20, hakina hati, bei milioni2 na nusu. Mawasiliano:0679708214. Au 0744008214.
Price: TZS2
Private Seller: DAR D
Kiwanja kinauzwa Bei ya kutupa, Bei ni Milion 7.8 Tu. Kiwanja kinapatikana Kigamboni Tuangoma Kwa Sako. Kiwanja kina Msingi WA vyumba vitatu na Sebule. 0698534925/0744993715 Kiwanja ni kizuri sana, nguzo ya Umeme hapo hapo kwenye Kiwanja, Majirani wa kishua, sio Mbali na barabara ya lami, unaweza tembea hata Kwa mguu. Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa ni Futi 50 X 55. Unaweza kujenga Nyumba ya kuishi au ya kupangisha. Njoo uchukue hichi Kiwanja ujenge Nyumba ya ndoto Yako. Karibu sana 0698534925/0744993715
Price: TZS7,800,000
Private Seller: Saimon J
Mteja wetu sasa tumekupa option ya kujichagulia njoo na ukubwa wa kiwanja chako na bei yake sisi kazi yetu ni kukupatia kiwanja Kilimanjaro na Arusha karibu tukuhudumie Mawasiliano 0745761496
Price: TZS2,000,000
Private Seller: Gift A
CHUMBA NA SEBULE SELF KAALI MPYAAAA INAPANGISHWA UYOLE MBEYA JIJI IPO VIZUUURI MNOOO IPO JIRANI NA UYOLE DAY MAJI MASAA 24 PUBLIC TOILETS ZIPO NJE NI NZUUURI BEI ELFU 70,000 .....KIWANJA TUNAUZA PANKUMBI UYOLE MBEYA JIJI BEI MILIONI SABA LAKI TANO 0765912976
Price: TZS70,000
Private Seller: Mwakitegha I
Nyumba ipo kisota kigamboni Ina vyumba vitatu kimoja Master sitting room dining room jiko Na public toilet pia Ina nyumba Nyengine ya vyumba vitatu viwili masters ukubwa wa kiwanja sqm 695 Ina hati miliki ya wizara bei milioni 200 0767672719 0787672719
Price: TZS200
Private Seller: Nyovest M
2400 sqm Bei shs milioni tisini tu (90,000,000) Piga 0625617565
Price: TZS90,000
Private Seller: sales i
KIMBIA KODI WAHI HIKI KIWANJA KINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA. PIKIPIKI 1500 HADI SITE KINA UKUBWA WA 21*18 KIPO KATIKATI YA MAKAZI YA WATU NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO. BEI TSH 2.9M MAWASILIANO: 0714972994 0752837303 ZOTE ZIPO WHATSAPP
Price: TZS2,900,000
Private Seller: WAUZAJI W
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA KIBAHA MWENDAPOLE _____________ KIPO JIRANI KABISA NA MAIN ROAD. HATA HONI ZA MAGARI UNAZISIKIA NI MWENDO WA DK 7 TU KWA KUTEMBEA. _____________________ KINA UKUBWA WA 60*29*50*41 ___________ KIPO KATIKATI YA MAKAZI YA WATU, HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO. ____________ BEI TSH 17.5M ____________ MAWASILIANO: 0714972994 0752837303
Price: TZS17
Private Seller: Innocent M
Nyumba ipo kisota kigamboni Ina vyumba vitatu kimoja Master Sitting room dining room jiko stoo na public toilet pia Ina Vyumba vitatu nyuma viwili masters na public toilet bei milioni 200 mzungumzo yapo Ukubwa wa kiwanja sqm 695 0787672719 0767672719
Price: TZS200
Private Seller: JIPATIE P
GHOROFA LINAUZWA Lipo Tegeta Namanga 0688 648 633) ( 0715 455 411 Juu Nina VYUMBA 3 Vyote Master Full Ac / Chini Lina VYUMBA 2 Full Ac Vyote Master / Kiwanja Sqm 800 Hati Title Deed/ Bei Rafiki 450M Km1 kutoka Bagamoyo Road Karibuni wateja
Price: TZS450
Private Seller: Machinga M
*Eneo linauzwa Mbagala-Kilungule-Charambe* *Location* Eneo linagusa lami Kilungule -Eneo linafaa kwa matumizi ya Sheli, Hotel, Godown au Nyumba ya makazi -Ndani ya eneo kuna nyumba 2 ambazo zote wanaishi wapangaji. -Plot size Sqm 2,732 -Document; Leseni ya Makazi *Bei shilingi milioni 350 maongezi yapo* 0655123147/0755230978 Tembelea page yetu kwa Biashara zaidi https://www.facebook.com/profile.php?id=61550538873912&mibextid=ZbWKwL
Price: TZS3,500,000
Private Seller: WAUZAJI W
Tunauza viwanja kigamboni kimbiji kwa malipo ya mkopo Anza na 337,500 upate kiwanja Cha sqm 450 yaani 20 kwa 22.5 0713553021
Price: FREE
Private Seller: WAUZAJI W
NYUMBA INAUZWA IPO CHANIKA MAGENGE VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO UKUBWA WA KIWANJA QMTA 400 TUPIGIE CM 0678588718 0767921871__WASAP
Price: TZS25
Private Seller: Imaa S
KIWANJA KIKUBWA SANA KINAUZWA KIBAHA MWENDAPOLE _____________ KIPO JIRANI KABISA NA MAIN ROAD. HATA HONI ZA MAGARI UNAZISIKIA NI MWENDO WA DK 7 TU KWA KUTEMBEA. _____________________ KINA UKUBWA WA 26*17*10*26 ___________ KIPO BARABARANI KABISA UNAWEZA JENGA HATA FREMU ZA BIASHARA ____________ BEI TSH 6.5M ____________ MAWASILIANO: 0714972994 0752837303
Price: TZS6,500,000
Private Seller: Sangamagarimashamba R
NAUZA KIWANJA KIBAHA KONGOWE UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD LAMI KILOMITA MOJA Ukubwa ni MITA 50 Kwa 40mita na kipo BARABARANI YAANI barabara ya zamani KIPO Kibaha kongowe forest karibu kabisaa na shule ya secondar, shule ya MSINGI na hospital ya serikali TSH 16,000,000/= bei inapungua kidogo Maelezo zaidi 0735 712324
Price: TZS16
Private Seller: WAUZAJI W
Tunauza viwanja kwa malipo ya mkopo kibaha kongowe njoo uanze na 187,500 upate kiwanja Cha sqm 450 yaani 20 kwa 22.5 viwanja vimepimwa na utapata hati miliki kutoka wizarani 0713553021
Price: FREE
Private Seller: WAUZAJI W
Kiwanja kiposehemmzuri pia umeme upo balabala ipo kipo kigamboni ukubwa wa eneo ni heka1 inauzwa 17m maongezi site au nipigie 0783726239
Price: $15
Private Seller: Issa K
Nyumba ipo Kivule matembele wilaya ya Ilala mkoa DSM. Nyumba inavyumba vitatu vya kulala kimoja master, jiko, dining, sitting room na public toilet. Ukubwa wa kiwanja sqm 400 hati mauziano ya serikali ya mtaa. Ipo umbali wa Meter 100 kutoka kwenye lami. Njoo uangalie nyumba maongezi yapo Bei 50 0655123147/0755230978 Tembelea page yetu kwa Biashara zaidi. https://www.facebook.com/profile.php?id=61550538873912&mibextid=ZbWKwL
Price: TZS50,000,000
Private Seller: Rãmsëý